Music

Eze Nice ‘s Siku Moja Lyrics (Ft. B2k Mnyama, Ashelwizy)

Nilikuandika kwenye historia
Ikabaki kiwembe
Haikutosha salamu
Hata ikawa bubu eeh

Tatizo si pesa tell me why
Unavyonitesa tell me why
Tatizo si pesa tell me why

Vile nilivyoekaga taabu
Ukasema nikome wee
Nikilinganisha hii si adhabu
Kwa leo nikuone

Nipunguzie adhabu, siku moja 
Unataka kuniona mara moja
Na huu udogo wangu, siku moja
Nikukumbushe neno lako moja tu

Nipunguzie adhabu, siku moja 
Unataka kuniona mara moja
Na huu udogo wangu, siku moja
Nikukumbushe neno lako moja tu

Nauliza nini sababu
Moyo wangu unaupaga taabu
Nauliza nini sababu
Moyo wangu unaupaga taabu

Ungependa nikupe
Kumbe mwenzangu umewaganda kama kupe
Kama buku nisome
Ili yako mitihani nivuke mama

Ulikuponza wasiwasi
Mimi ningebaki na wewe mami
Ubaya huwa ni hasira 
Unajilaumu mwenyewe

Mara una hili una lile
Mwenzako vipi sielewi?
Mara una hili una lile
Mwenzako vipi sielewi?

Vile nilivyoekaga taabu
Ukasema nikome wee
Nikilinganisha hii si adhabu
Kwa leo nikuone eh eh

Nipunguzie adhabu, siku moja 
Unataka kuniona mara moja
Na huu udogo wangu, siku moja
Nikukumbushe neno lako moja tu

Nipunguzie adhabu, siku moja 
Unataka kuniona mara moja
Na huu udogo wangu, siku moja
Nikukumbushe neno lako moja tu

Nipunguzie adhabu, siku moja 
Unataka kuniona mara moja
Na huu udogo wangu, siku moja
Nikukumbushe neno lako moja tu

Nipunguzie adhabu, siku moja 
Unataka kuniona mara moja
Na huu udogo wangu, siku moja
Nikukumbushe neno lako moja tu