Music

Meddy Slover ‘s Hadithi Lyrics

Leo nina hadithi, naomba nihadithie eeh
Hadidhi tamu ya mapenzi, tega na usikie eeh
Niliishi naye, super girl, only one angel
Nilienjoy naye, ooooh

Kitu ngozi matata
Ni lazima udate eeh
Anadatisha wataka 
Need some money oo 

Nilipotegemea kuvua samaki
Chambo yangu ikapigwa na wimbi
Nilipotegemea kuvua samaki eh eh eh

Wajanja wa mjini
Wakambeba hadharani
Unapochacha mfukoni
Mipango inakwamaa 

Hiyo ndiyo, kisa kaniacha beiby
Hiyo ndiyo, yakanishika maumivu
Hiyo ndiyo, nikimbembeleza arudi
Hiyo ndiyo, hawezi mi sina kitu

Hiyo ndiyo, kisa kaniacha beiby
Hiyo ndiyo, yakanishika maumivu
Hiyo ndiyo, nikimbembeleza arudi
Hiyo ndiyo, hawezi mi sina kitu

Nakufosi mapenzi 
Ni sawa unatunzia wenzako, okey
Unapambana kujenga, 
Mwenzako anatibua mpuruchuke

Unifanye kanda mbili
Univae, unipue 
Kisha unidharau
Inachosha

Nasikia unasema
Una boss mwenye pesa
Karagosi kama mi
Nakuchosha

Wajanja wa mjini
Wakambeba hadharani
Unapochacha mfukoni
Mipango inakwamaa 

Hiyo ndiyo, kisa kaniacha beiby
Hiyo ndiyo, yakanishika maumivu
Hiyo ndiyo, nikimbembeleza arudi
Hiyo ndiyo, hawezi mi sina kitu

Hiyo ndiyo, kisa kaniacha beiby
Hiyo ndiyo, yakanishika maumivu
Hiyo ndiyo, nikimbembeleza arudi
Hiyo ndiyo, hawezi mi sina kitu