Intro | Tanzanian politician |
Is | Politician |
From | Tanzania |
Type | Politics |
Gender | male |
Birth | 1 January 1977 |
Age | 44 years |
Politics | Civic United Front |
Juma Kombo Hamad (amezaliwa 1 Januari 1977) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha kisiasa cha Civic United Front (CUF). Amechaguliwa kuwa mbunge wa Wingwi kwa miaka 2015 – 2020.